Search

727 results for Imani Makongoro :

  1. Dullah Mbabe afungiwa kuzichapa Uingereza

    Dar es Salaam. Bodi ya kusimamia ngumi za kulipwa nchini Uingereza imemfungia bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kuzichapa kwa muda nchini humo. Uamuzi wa bodi hiyo umekuja siku chache baada ya...

  2. Tanzania yabeba medali tatu Ghana

    MABONDIA Tanzania, Paulo Ezra, Yusuf Changarawe na Mussa Maregesi wameihakikishia medali Tanzania kwenye michezo ya Afrika (All African Games) msimu huu. Mabondia hao wa timu ya Taifa, wametinga...

  3. Prodyuza wa Ditto atoa ushahidi wa saa tatu mahakamani

    Emmanuel Maungu ambaye ni prodyuza wa wimbo wa Nchi Yangu wa mwanamuziki, Lameck Ditto ametoa ushahidi leo Alhamisi kwa muda wa saa tatu akielezea mahakama namna alivyotengeneza wimbo huo mwaka...

  4. Mwakinyo yamemkuta huku

    Bondia Hassan Mwakinyo ameng’oka kwenye orodha ya mabondia watatu bora (Top 3) wa muda wote Tanzania. Pia bondia huyo ameporomoka na kushindwa kupenya kwenye 10 bora (Top 10) wa Tanzania kwa...

  5. Zaylissa ni mke wa mwisho kwa Manara?

    Julai mwaka huohuo kukawa na minong'ono ya kumwagana na Ruby kwa talaka tatu, kabla ya usiku wa kuamkia leo alipotangaza kumchumbia Zaiylisa na kubainisha kwamba, siku 10 zijazo ndoa itafungwa na...

  6. Aliyechapwa KO na Kiduku, kuzichapa na Mwakinyo

    Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku 20 kabla ya kupanda ulingoni, Hassan Mwakinyo amebadilishwiwa mpinzani safari hii akiletewa Mcongo, Mbiya Kanku bondia aliyewahi kupigwa Knock Out (KO) na...

  7. Mambo yanoga riadha, wanne wapenya kushiriki Olimpiki

    Tanzania inaweza kuanza kutamba, licha ya kwamba ni kwa idadi ndogo ya wanamichezo waliojihakikisha kufuzu kushiriki michezo ya Olimpiki sasa, ambao ni wanne. Kwa hao wanne ni uhakika, kwani...

  8. Muelekeo mpya kwa Simba, Yanga KImataifa

    Upepo umebadilika, vigogo Simba na Yanga sasa wana nguvu ya kupambana kutafuta tiketi ya kucheza robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ambayo baadhi ya makocha nchini wanataja mambo...

  9. Rekodi za Wydad ugenini kuibeba Simba

    Wakati kocha Abdelhak Benchikha akisisitiza mechi ya leo ni sawa na fainali kwao, rekodi za Wydad kwenye mechi 10 za karibuni ugenini zinafufua matumaini kwa Simba kupata pointi tatu zitazowapa...

  10. Ndonga Zenji zilipotoka, zilipo na zinakokwenda

    JAPO wanasema hakuna mahali imeandikwa moja kwa moja, lakini baadhi ya wazee wamekuwa na maelezo tofauti kuhusu ngumi kuzuiwa kuchezwa visiwani Zanzibar. Rais wa kwanza, Abeid Amaan Karume...

Page 1 of 73

Next